Uwekezaji

Maoni 2 :

  1. Uwajibikaji wa pamoja katika usafi na mazingira ni jambo jema sana.

    JibuFuta
  2. barabara ya kivule kipande cha banana kitunda hsdi msongola mbona hakuna ujenzi unaendelea wowote wakati tunaelekea kipindi cha masika ambapo kila mwaka mawasiliano ya barabara hii hukatika na mwishoe serikali hutumia gharama kumbwa sana kuifanya barabara iendelele kupitika, ni miezi mitatu tu imebaki kufika masika halafu kazi ya usiku na mchana tunaona inafanyika kwenye barabara hii nini tatizo?

    JibuFuta