Mawasiliano

Maoni 9 :

 1. vipi kuhusu matokeo ya watu waliofanya interview ya BVR Oparetor pale DIT

  JibuFuta
 2. nimeipenda sana blog hii! lakini tunaomba kuwe na kipengele cha taarifa za dharura kwa wakazi wa ilala. tunahitaji kutoa ushirikiano kwa serikali yetu kuhusu sekta mbalimbali kama vile afya, miundombinu, elimu na mengineyo. kwa kufanya hivyo kutasaidia kuondoa haraka kero za wananchi. hata mimi ni mkazi wa ilala eneo la mwanagati Mzinga, nina mengi sana ya kuiarifu serikali yangu lakini nashindwa. sio kwamba mamlaka zingine husika hazipo la! ila kwasababu ya uziwi wao kwa maneno ya wananchi na kwasababu ya uzito wa akili zao katika kuyatatua yao. binafsi tu ninaomba mapendekezo yangu yapewe nafasi ya pekeee ili tuweze kushirikiana.

  JibuFuta
 3. naomba msaada wa kupata namba ya mawasiliano ya mkurungenzi mtendaji wa halmashauri y a manispaa ya Ilala ili niweze kufanya mawasiliano naye

  JibuFuta
 4. Hivi hiki kituo daladala cha malapa mbona kimetelekezwa?

  Kupitisha greda na kushindilia nako kUnatushinda? khaaa aibu

  JibuFuta
 5. Hivi hiki kituo daladala cha malapa mbona kimetelekezwa?

  Kupitisha greda na kushindilia nako kUnatushinda? khaaa aibu

  JibuFuta
 6. Habari yenu ndugu waheshimiwa samahan naomba nijue ofisi yenu inapatikana sehemu gani nahitaji kufika makao makuu ya wilaya hii ya ilala.

  JibuFuta